Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika shamrashamra za kulizindua rasmi jiji la Arusha Novemba 1, 2012 ambapo maelfu ya wakaazi wa jiji hilo walijitokeza kumlaki na kumshangilia katika hafla hiyo iliyoambatana pia na uzinduzi wa ujenzi wa barabara za jiji hilo. Sherehe hizo za kihistoria zilifanyika katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid
WAZEE WA ARUSHA WAFANYA MATEMBEZI YA AMANI KUMUENZI BABA WA TAIFA
-
Na Pamela Mollel,Arusha.
Wazee wa Mkoa wa Arusha wamefanya matembezi ya amani kuadhimisha miaka 26
ya kumbukizi ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Juliu...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment