Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika shamrashamra za kulizindua rasmi jiji la Arusha Novemba 1, 2012 ambapo maelfu ya wakaazi wa jiji hilo walijitokeza kumlaki na kumshangilia katika hafla hiyo iliyoambatana pia na uzinduzi wa ujenzi wa barabara za jiji hilo. Sherehe hizo za kihistoria zilifanyika katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid
SUKARI BORA YA MKULAZI, YAWAFIKIA WANANCHI KUANZIA UJAZO WA CHINI
-
Na Mwandishi Wetu
Zaidi ya wakulima 300 kutoka mkoa wa Morogoro wamenufaika na uwepo wa
Kiwanda cha Sukari cha Mkulazi ambacho kinanunua miwa yao kwa aj...
22 hours ago
No comments:
Post a Comment