Social Icons

Sunday, October 28, 2012

CHADEMA CHALI UCHAGUZI MDOGO MAKETE CCM YAIBUKA KIDEDEA



  Msimamizi wa uchaguzi jimbo la makete atangaza matokeo ya uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya Luwumbu wilayani Makete na kumtangaza  mgombea udiwani kata ya Luwumbu kwa tiketi ya CCM Mch. Enock Ngajilo (Pichani juu) kuwa ameibuka kidedea kwa kupata kura 565 sawa na 93.4%
huku mgombea wa CHADEMA Raphael Kyando (pichani) akiambulia kura 40 sawa na 6.6%.
Katika uchaguzi huo vyama wiwili (CCM & CHADEMA) ndio vilishiriki uchaguzi huo

No comments:

Post a Comment