akizungumza na mtandao huu Mfanya biashara huyo amesema uzinduzi huo utafanyika siku ya juma mosi na wanatarajia kuwaaalika watu mbalimbali wakiwemo viongozi wa kisiasa na wa serikali na wananchi wote wa kata yaluwumbu na maeneo jirani
akizungumzi uamuzi wake wa kujenga daraja hilo Bwana Wanyama amesema kijiji cha luwumbu ndiko aliko zaliwa na tangu utoto wake amekuwa akiona wazazi wake wakipata shida ya kuvuka katika daraja dogo la miti lililokuwepo katika mto huo hivyo ameamua kuonyesha mchango wake kwa jamii ya wana luwumbu
aidha amewataka wafanyabiashara wenzake na watu wenye mafanikio kusaidia kule walikotoka ili kuwapunguzia matatizo ndugu zao wa kipato cha chini na wale wasio na uwezo kama wao
hii itakuwa cni mara ya kwanza kwa mfanya biashara kuamua kusimamia ujenzi mkubwa kama huo ulio gharimu pesa nyin

No comments:
Post a Comment